Header Ads

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU MZUMBE (MU)

 Makamu Mkuu wa Chuo , Chuo Kikuu Mzumbe (MU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04/11/2026 hadi 05/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask). 3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.


KWAMAELEZO KAMILI BONYEZA HAPA


No comments

Powered by Blogger.